Recent content by yowery kagoma

  1. yowery kagoma

    Msaada: Binti yangu kapewa ujauzito na Mwanafunzi wenzake na amekimbia

    Lengo aje akili kuwa ni yy kweli nimkabizi mkewake waendelee na maisha yao m siwezi kumlea tena muda wake umekwisha apishe nafasi imebaki kwa wadogozake tu.
  2. yowery kagoma

    Msaada: Binti yangu kapewa ujauzito na Mwanafunzi wenzake na amekimbia

    Binti yangu anasona kidato cha 3 kabebeshwa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wa kidato hichohichi nikaendanae mpaka shule tukamkuta mwl wake wa darasa mwl akatuagiza tukampimishe kujilidhisha akateuliwa madam na binti yangu wakaenda madam akarudi na majibu nikwli nimjamzito. Baada ya hapo...
  3. yowery kagoma

    Zitahamu sheria zako za msingi ukikutana na polisi usinyanyaswe fanya haya uwapo mikononi mwa polisi

    Mmmmh!!! Labda isiwe hii police force Sent using Jamii Forums mobile app
  4. yowery kagoma

    Msaada: Binti yangu kapewa ujauzito na Mwanafunzi wenzake na amekimbia

    Wapendwa naombeni msaada wa kisheria Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni. Nikamuelezea mwalimu wake wa darasa akadai akapime kujiridhisha akapewa Mwalimu wa kike majibu yakaja...
Back
Top Bottom