Msaada: Binti yangu kapewa ujauzito na Mwanafunzi wenzake na amekimbia

yowery kagoma

New Member
Jun 6, 2022
4
11
Wapendwa naombeni msaada wa kisheria

Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni. Nikamuelezea mwalimu wake wa darasa akadai akapime kujiridhisha akapewa Mwalimu wa kike majibu yakaja nimjamzito.

Akafuatwa yule kijana akahojiwa na mwl. Baba wa mtuhumiwa akapiga simu kwa mwl yakumtaka amtoroshe mtuhumiwa na mwl akalitekeleza hilo mpaka sasa mtuhumiwa hayupo nimebaki na binti yangu tu nyumbani sielewi pakuanzia naombeni msaada wa kisheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti yangu anasona kidato cha 3 kabebeshwa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wa kidato hichohichi nikaendanae mpaka shule tukamkuta mwl wake wa darasa mwl akatuagiza tukampimishe kujilidhisha akateuliwa madam na binti yangu wakaenda madam akarudi na majibu nikwli nimjamzito. Baada ya hapo mtuhumiwa alifuatwa darasani na mwalim akahojiwa mtuhumiwa akakana akapigiwa sim mzazi wa mtuhumiwa kiukweli walicho ongea sikujua juzi nilienda shule kumuulizia mtuhumiwa mwl ananiambia et alimuachia huru baada ya kugundua hana mamlaka ya kumkamata nikamuliza mwl sasa nitampataje mtuhumiwa wangu akaniambi ametoroka. Mzazi wa mtuhumiwa ananitaka tuyamalize kwa mazungumzo mm na yy kifamilia. Naombeni msaada wenu wa kisheria mana sijui ngazi yoyote ile ya kuanzia na wapi niishie ili haki ipatikane.

Mtuhumiwa tena wakati wote ni under 18,wote ni wahanga
Au ndio ukiwa mwanaume basi huwezi kuwa muhanga
 
Hizi ndizo sheria za kikoloni ambazo hazina maana, mzazi mwenzangu no need to panic, nchi zinazojielewa mtoto angeendelea na masomo yake,angejifungua na kuendelea na shule na serikali ingekua inamlipia mtoto grant, nenda kafanye abortion
 
Kumbuka abortion ni kosa kisheria,na vilevile ni kosa kwa Mungu kua kiumbe chake kilicho tumboni!! Mzazi aubebe tu Mzigo wa mwanawe ya Mungu mengi huwezi jua ya kesho!!
 
Hii ni sheria iliyopitwa na wakati,it take two to tango, why ni she tu anayeathibiwa na kupotozewa muda?,mtoto yumo ndani ya tumbo la she na ni haki yake kuruhusu au la,elewa pia sheria inaongolea hiyo mimba ipo kwa muda gani ndani ya tumbo la she, under 45day sio kiumbe mwenye uhai
 
Kiuhalisia wote ni watoto na hakuna kesi hapo. Wazazi mlitakiwa kuja pamoja na kuangalia namna ya kusapotiana katika kuwavusha watoto hapo

Kama mzazi mwenzako kakususia kina hatua za kuchukua ila mimi nakushauri kwa heshima ya familia yako na afya yako ya akili,mbebe mwanao,msimamie ajifungue salama kisha arudi shule. Haimaanishi kwamba binti yako ni mtu wa hovyo sana..sote tumepitia teenage na tunajua tulinusurika kwa kudra tu

Mimi ni mwalimu kwa hiyo nimekua nikidili na hizi incident mara nyingi....
 
Huyo analeta ngonjera tu humu! Hicho Kijukuu kikisha zaliwa tu ndiyo atakua kipenzi chake kuliko hata hao Watoto wa kuwazaa mwenyewe!! Utakuja niambia time will tell! Tumeshuhudia wengi mwanzo huwa wakali sana,lakini baadae huwa hawataki hata Baba halali wa Mtoto hata umsogelee karibu!!!
 
Wapendwa naombeni msaada wa kisheria

Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni. Nikamuelezea mwalimu wake wa darasa akadai akapime kujiridhisha akapewa Mwalimu wa kike majibu yakaja nimjamzito.

Akafuatwa yule kijana akahojiwa na mwl. Baba wa mtuhumiwa akapiga simu kwa mwl yakumtaka amtoroshe mtuhumiwa na mwl akalitekeleza hilo mpaka sasa mtuhumiwa hayupo nimebaki na binti yangu tu nyumbani sielewi pakuanzia naombeni msaada wa kisheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda karipoti polisi utapewa RB pia mshitaki mwalimu kuhusika kumtorosha atakuwa mstakiwa no 2
 
Back
Top Bottom