Recent content by yousaw

  1. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Kwaio mkuu unataka kuniambia m7 itakidhi vitu muhim nihamie
  2. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Nataka vile vitu muhim tu kumfanya mtu aish mkuu
  3. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Angalieni na hii viongozi, lengo Sio nyumba kama hii ila Raman hii Daah ebhana nimekuelewa sana mkuu shukran
  4. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Shukran mkuu, nifanyaje Sasa!!!
  5. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Jaman shida yangu ilikuwa ushaur kama hizo RAMANI siziwezi mniambie nijenge vp kulingana na nguvu yangu
  6. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Kinachoweze Nafikir ungeelewa mada ingekusaidia kuandika kitu tofaut
  7. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    7m itakamilisha jengo, no aluminum no rangi
  8. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Shukran mkuu, me lengo langu nipate jengo nipige plasta, niweke floor ya kawaida tu, niweke grill, Umeme na ikiwezekana nifunge gypsum board basi, je NITAWEZA???
  9. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Thanks mkuu, kwa kufuata nadhalia no 2, kwa uwezo huo wangu naweza inua kibanda Cha namna gan?
  10. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Sawa mkuu, Sasa naweza kujenga nn kwa uwezo wangu huo? Shukran mkuu
Back
Top Bottom