Ndugu yangu umekurupuka kutoa mada eti "elimu na dini vitu tofauti"
vitabu vyote vya dini vinasisitiza watu watafute elimu.ambayo itamuwezesha mtu amkumbuke mungu wake.
hata hawa mafisadi wetu wangesoma kama dini zinavyotaka wangekuwa viongoz wazuri
Hahaha mshaanza malumbano?
haya mambo ya tetesi yasha nichosha kuanzia post za ualimu hadi matokeo ya ualimu.
kama hamna mambo mengne ya kielimu si bora tunyamaze kuliko kutiana presha tu wakati serikali yenyewe mnaijua kwa udanganyifu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.