Natumain mpo salama,
Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka kwake,nlijitahd kuwa kawaid nkijaribu kumpatia upendo kama kawaida, nkijua ni hali ya panda shuka za...