Recent content by young k

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    Inakuaje kwa sisi tuliosubmit wakati tunaomba,au tupeleke tena"barua za chuo"
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    Please niangalizie na hii S1437.0020.2010
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    Niangalizie na mm kaka S1437.0021.2010
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nilichosikia kuhusu HESLB

    uko sahihi sana mkuu....
  5. Y

    JamiiForums Tanzania HESLB wanamaanisha nn?

    Registration huwa unatumia pesa yako mkuu den ukipata boom utarudishiwa gharama zako,kwahyo keep on waiting mkuu...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mgomo waingia siku ya 3 Chuo Kikuu St. Joseph

    hao jamaa ni wazuri katika uhandisi na sio uwalimu,poleni sana jamani...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Rais wa TAHLISO na Rais wa DIT wanashikiliwa na Polisi

    but its not fair kwanini wasitupe pesa zetu siku zote hizo na tukisema tunaandamana wanatukamata why....???? Tufanye nini sasa jamani na pesa hatuna....
  8. Y

    JamiiForums Tanzania TETESI: Wahitimu wote wa Degree na Diploma kujiunga na JKT.

    Hatamaye taifa letu laandaa taifa lenye vijana wenye mafunzo ya kijeshi lakini hawana ajila,je!hawaoni kama wataongeza idadi ya majambazi wanaojua kutumia siraha za moto tena za kivita????.....Taifa letu laenda wapi jamani...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa/habari za waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka 2014.

    Soon baada ya hz paper za frm 6 watayatangaza,mwambie dogo asijali
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada....Msaada...Msaada...

    Naombeni msaada jamani,other major tools of communication ni zipi apart from language?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania "Kwa wale waliokosa mkopo tu"

    pamoja sana kijana
  12. Y

    JamiiForums Tanzania "Kwa wale waliokosa mkopo tu"

    pamoja sana kjana
  13. Y

    JamiiForums Tanzania HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

    inshaallah,mwz.mungu atie wepesi juu ya jambo hili na kesho tuweze fika hapo ili kujua mustakabali wa mikopo yetu....
  14. Y

    JamiiForums Tanzania From h.e.s.l.b to wizara ya elimu

    yani ijumaa mpaka kieleweke wakuu....
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kupewa mkopo wizara yajibu

    bt jaman tumepanga kuwa kama majibu yao hayataturidhisha basi ijumaa asubuhi yani mapema sanaa tukutane posta ya zamani pale mkabala na NBC Bank kwenye garden ili tuende tena wizarani yani mpaka kieleweke..
Back
Top Bottom