Recent content by Young AI

  1. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Dah sahihi mkuu. Nimewaza mengi sana kwa sasa naona nibadili dini, nijitenge kabisa na maisha niliyo yazoea, nijiweke karibu na mwenyezi mungu. Kiufupi niwe mtu wa tofauti kabisa na kawaida.
  2. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Mkuu mimi sina mahusiano nnje ya ndoa, na sina vita na ma eX.
  3. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Mkuu utata wa mzee sijawahi ona kafokeana au kampiga maza. Ila huyu mke wangu kumpiga ilikuwa ni lazma ili nimuweke sawa. Mzee ni mtata kwenye misingi huwa hayumbishwi. Ila mtoto wangu akibaki nae ataharibika, siwezi kabisa kusema abaki nae.
  4. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Ok mkuu thanks ila Note ya mwisho sijaelewa yani anipe ABC kivipi mana sidhani kama ndio ninachofikiria.
  5. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Ukweni nimeongea nao leo nao walikuwa hawajui, ila wameniambia itakuwa ni hasira zikiisha atarudi, japo mtoto ndio ananiumiza sana akili.
  6. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Mimi niliambiwa nikamchukue na baba yake mzazi, wakati nimemwambia najipanga kutoa mahali, ila faini nililipa.
  7. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Back
Top Bottom