Recent content by Yombo08

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hizi za tamisemi kaka hazihusiana na wizara ya afya
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tamisemi wametoa mkeka wa kada ya Afya kupitia Utumishi, Wenye vigezo tukaongeze received huko
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani Sana mtaalam kwa ufafanuzi na mchanganuo mzuri, nilikuwa nauliza maswali ni ya kazi husika au ni Aptude za kila siku tulizozoea
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Nadhan hapana
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Kwa haraka haraka nazan 65
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Kanda ya ziwa, wamefanya interview jana na wengine kesho
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ulipambana sana Mtaalamu
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hapana Jamaa yangu alifanya, ila alisubiria kwa muda wa miezi 4, ndio akaitwa oral
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    😂😂😂 Dar Pole sana, Ila pambania nafasi hio, usiiache ipotee hivi hvi
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hii inatosha kusogezea siku kabsa wakati mambo mengine tukizd kuyapambania
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    inaweza kuwa shilingi ngap? kwa level hii ya direct sales
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    NMB wanalipa vzuri kumbe🤔
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Amebahatika maana kuna jamaa ana 77.5 hajaitwa
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Interview ni next week 4/04 So wakimalza hao labda watafata awamu nyingne kama mwaka jana, ila tuwe na amani hujatumiwa email ya kutokuendelea na wewe next step uhakika wa kuitwa oral upo, ni swala la muda tu.
Back
Top Bottom