Recent content by Yom HaDin

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Mungu huwatoa sadaka ili kufunza wengine...

    Kwa mateso ambayo Mwenyezi Mungu ameruhusu apitie kwa kipindi cha miaka yake naona kama inatosha sasa. Nakumbuka ile picha anachaniwa suti/kaunda kule tarime. Nakumbuka alipoiita report ya makinikia uchafu wa kitaaluma enzi hizo hayati JPM ni wa moto anaogopwa nchi nzima hadi na sisimizi na...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu usio rasmi watu wa KIDINI Afrika wanaogopa sana Wachawi/Majini/Mapepo/Freemasons kwa sababu viongozi wao nao wanaogopa vitu hivyo

    Sikio haliwezi kuzidi kichwa. Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu. Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi. Iko hivi...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Tundu Lissu kwa kosa dogo la uchochezi

    Maana yake nini?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Sehemu yeyote inayokupa riziki hauwezi kukosa vita vya kiroho / vita vya kimwili

    Ukiwa mkristo hakuna vita. Kesi zako sote za kiroho ameshazinunua Yesu miaka 2000 iliyopita. Kuna mtu alitaka kuleta huo ujinga na ubosi wake nikamshtaki mahakama za rohoni. Uovu wake ukafunuliwa akatimuliwa, kateseka kisha amerudi nafasi hiyohiiyo mahala pengine awamu hii mtulivu kidogo
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Tundu Lissu kwa kosa dogo la uchochezi

    Vipi sasa Anafungwa? Analipa fine? Vyote Au ananyongwa? Au tusubiri siku nyingine? Mbona vitu ni nusunusu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Asante sana.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Maana yake nini. Anafungwa? Anarudi jela au analipa faini?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

    Hehe nasikia anatoka kwenye familia ya kitajiri sio masikini anayetegemea siasa kama yule jamaa Tindu. Hili limekaaje? Pia Wakurya wanapendana sana na wanapesa hawashindwi kumsponsor kijana wao na harakati zake. Hili sakata kama halina uhalisia labda kama aliwekewa mtego akajaa
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kama Unataka Kunila Si Useme Tu Usizunguke?

    UMalaya ndio taaluma ya kwanza dunaini. Sasa unashangaa nini, unataka ukutane na church girl bar?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wanapoongea huwa kama wanaongea na wanawake tu makanisani?

    Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu. Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume. Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Colombia utadhani wanatumia madawa. Wanakimbia na kushambulia kama nyuki.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026: Hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali

    Morroco wataitoa france
  13. Y

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Nyuma ya hizi match ni biashara. Messi kutolewa awamu hii na Cabo Verde kuingia ni sawa na kuunguza mtaji. Ndio maana taharuki haikuwa kubwa kwa mashabiki kuliko kwa wenye worldcup yao
Back
Top Bottom