Nlikua na dereva mzuri mnooo sema kqpata kazi kubwa sana nikamwambia aende tu japo nlitaman aendelee kufanya kazi alikua analeta 40k per hajawai kumiss hata siku moja mpk kuna baadhi ya jpili nikawa namuachia alikua smart na mwenye akili sana na alikua smartworker kwa alichokua anafanya ni kuwa...
Habari wanajukwaa,
Fursa natafuta dereva mwenye uzoefu wa kutosha nina gari aina ya Noah aje nimpe aniletee hesabu kwa siku 40,000. Au kama una hotel, shule, kampuni wanaohitaji gari aina ya Noah njoo tuongee.
Mawasiliano: 0764888544 or 0714808918
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.