Recent content by Yohana sc

  1. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya malipo ya leseni TAUSI PORTAL kwa control number waliyotuma wao, cha ajabu halijatokea jina langu, sasa wanataka nilipie nyingine

    Naomba kufikisha hoja yangu kwa mamlaka husika. Niliomba leseni ya biashara katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu. Cha ajabu, nilitumiwa control number nikamtumia kijana wangu wa dukani akanilipia kupitia benki ya CRDB. Cha ajabu, feedback niliyopata JINA lilikuwa siyo langu...
Back
Top Bottom