Ndugu zangu habarini za wakati huu...naona unabii unaenda kutimia kwa taifa hili tena utatimia kwa speed kubwa mno..Watumishi wa Mungu kila mtu kwa imani yake ametaka wazi tuliombee taifa lisije likaingia kwenye machafuko .kwa uteuzi huu wa Leo TUZIDI KUIOMBEA IKURU ,.ila next tunaomba...
Mungu ibarki Tanzania , bariki watoa huduma za afya kwa binadam kwa kazi waliyo ifanya mpaka sasa kuhusu janga la covid-19..kwani watumishi wa afya wamepita kwenye mpito wa kuhatarisha maisha yao lakini hawajaopopa, magufuli juuuuuu....wapinzani tukutane2050
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.