Recent content by yo-wizzle

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kazi ya ualimu

    Na maths ina vpndi vingapi kwa wiki?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    naomba msaada wenu wakuu S0672/0220/2006 PLEASE
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vigezo vya kupata mkopo elimu ya juu

    kozi uliochaguliwa ndio mpango mzima.......points hazihusiki babuu
  4. Y

    JamiiForums Tanzania wale wa st.john dodoma selection and joining are out

    ni kweli kaka nimeyaona kumbe airtel yatosha hawakutudanganya bhanaaaaaaaaaaaaa........................
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ipi ni masters nzuri....?

    Kaka nina mzigo wa 4.0,kama kuna sehemu nyingine tafadhali naomba info,asante
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Ipi ni masters nzuri....?

    Asante sana mkuu,nadhani ni wazo zuri coz nina msingi mzuri sana wa hesabu....
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ipi ni masters nzuri....?

    Asante sana mkuu,nashukuru kwa mchango wako
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ipi ni masters nzuri....?

    Ipi ni masters nzuri baada ya kumaliza BSc.Education(Bachelor of science with education),either M.Sc(Mathematics),M.Sc(Management) au kama kuna nyingine yoyote unayoifahamu,please naomba unifahamishe.I hope nitapata ushirikiano wa kutosha.natanguliza shukrani,asanteni
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bsc.Ed(Bachelor of science with Education)...please!!

    Nashukuru kwa mchango wenu wana Jf,now nimepata ufafanuzi wa swali langu but nakaribisha mawazo ya wengi wenye kufahamu hili...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bsc.Ed(Bachelor of science with Education)...please!!

    Nashukuru sana mkuu kwa kunipa uelekeo...asante sana...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bsc.Ed(Bachelor of science with Education)...please!!

    Pamoja sana kaka..asante kwa mchango wako stahiki
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bsc.Ed(Bachelor of science with Education)...please!!

    Asante sana mkuu oil sumu..
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bsc.Ed(Bachelor of science with Education)...please!!

    Nimepangiwa course programe hiyo,naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye ufahamu,je?naweza kuchukua Chemistry/Mathematics combination,pia naomba kujuzwa ukisoma masters unaweza ukasoma kitu tofauti na education kwa kozi hii?
  14. Y

    JamiiForums Tanzania St johns university hapa!!!

    Pamoja sana mkuu,wewe course gani?
Back
Top Bottom