Recent content by ymar

  1. Y

    KERO Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani Pemba ni hatari kwa usalama wa Watumiaji

    Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu. Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo. Tunaomba Mamlaka...
  2. Y

    Tetesi: Eneo la Wazi lililopo Shehia ya Mombasa, Magharib B linajengwa kimyakimya, Viongozi mpo kimya

    Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna ujenzi ambao unaonekana unataka kuanza na kwa tafsiri ya harakahara ni kama ‘ujenzi wa kimyakimya’...
  3. Y

    KERO Kina mama waliojifungua Hospitali ya Jitimai Zanzibar kitanda kimoja wanalala watatu, tatizo ni nini wakati kila wilaya ina hospitali?

    Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
Back
Top Bottom