Recent content by Yetusote

  1. Y

    Natafuta mwenye mtaji tujenge lodge Singida

    Soko ndio linataka hivyo. Sio suala la ubunifu. Watu wanabuni au kukopi vitu vingi ila mwisho wa siku wanaona havilipi. Unatambaa na soko lina taka nini
  2. Y

    Natafuta mwenye mtaji tujenge lodge Singida

    Mzunguko wa pesa hapa mdogo ila naamini wateja watakuwepo ni uwekezaji mdogo sio uwekezaji wa pesa nyingi. Vyumba vya kawaida kabisa na soko kuu ni wazawa tu ila kwa bei nafuu zaidi. Malori yanapaki viwanja vya peoples. Viwanja vya peoples na hapa kuna 1.5km.
  3. Y

    Natafuta mwenye mtaji tujenge lodge Singida

    Habari. Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara kwa makubaliano ya asilimia kulingana na gharama atakazoweka. Ukubwa wa eneo 2129 sqm eneo...
Back
Top Bottom