Habari za leo wakuu .mimi ni mfanyabiashara.nahitaji kuanzishq biashra ya matunda ku import from South Africa to Tz. Especially apples, zabibu kijani na nyekudu (seedless grapes) makungwa na mengine..naomba kujuwa kampuni au process ya kuagiza APPLE kutoka South Africa to Tz online Ili yanifikie...
Habari za leo kaka..mimi ni mfanyabiashara. .naomba kujuwa kampuni au process ya kuagiza APPLE kutoka South Africa to Tz online Ili yanifikie .
Naanzia wapi .bado niko gizani
Maana ukinnunua kwa hapa hakuna faida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.