Let collect for testimonials guys.....nadhani kuna kitu ambacho kinahitajika kufanyiwa uchinguzi au kuangaliwa kwa makini maana sisi mpaka tufikia hatua ya kuzimiana fridge lakini bado speed iko pale pale
Ninachoomaanisha hapa ni kwamba, naona kama kuna namna unit zinaenda kwa kasi tofauti na kawaida....baadhi ya watu wanalalamika kama mimi pia...hebu chunguzeni kama mnalipia LUKU, fananisheni muone
Nahisi kama speed ya matumizi ya umeme yameongezeka hivi, Je kuna wengine mmeona hii issue au ni issue za matumizi yanyumbani kwetu wapendwa?
What i mean here, Consumption speed have increased than what was before, for the same electrical items we were using before..have you noticed something...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.