Recent content by Yelengana Malango

  1. Y

    Tuwajadili wenye nia ya kugombea urais....

    Hebu tuongee kuhusu hawa watu; Mh. Bernard Membe, Mh. Samuel Sitta, Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe, Mh. Dkt. Pombe Magufuli, Mh. January Makamba, Mh. Zitto Kabwe, Mh. Dr. Wilbroad Slaa, Mh. Freeman Mbowe, Mh. Edward Lowassa, Mh. Dkt Nchimbi, Mh. Prof. Mwandossya, Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim...
  2. Y

    Tuwajadili wenye nia ya kugombea urais....

    Nadhani kuna haja ya kuwatazama watanzania wenzetu hawa wanao pitapita huku mijini na huko vijijini kujinadi au kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania ifikapo mwaka 2015. Ni kina nani hawa? Wameshafanya nini kizuri au kibaya? Je wana uwezo kweli wa kuliongoza Taifa hili ambalo...
Back
Top Bottom