Recent content by Yejmaz20

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Sawa Mkuu ni sehemu ambayo ina population sio haba hapo ni maisha ha kipato Cha kawaida
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Vipi biashara ya hizo underwear, pochi /mikoba, viatu vya kike , slippers na sandles ....hii changamoto yake nin hasa Mkuu?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Shukrani sana ndugu vipi ukizilinganisha hizo mbili phone accessories na underwear, viatu vya kike .......kwa mitaa ya kawaida ambayo sio uswahilini
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Kati ya hizo nilizozitaja hapo ipi ina afadhali
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Kati ya hizo nilizozitaja mm hapo ipi Ina ubora
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Sehemu ambayo ina nyomi ya watu wengi na ni changanyikeni
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara 2024

    Wakuu wa JF, Naomba kuuliza ni sehemu gan hapa Dar kwa mwaka huu 2024 Kuna fursa nyingi za kibiashara kwa sisi wenye mitaji midogo kama 3M ambapo maybe kuna nyomi la watu wengi, mzunguko wa pesa ni mkubwa na labda ndo panachipukia kwa kasi sana kibiashara?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Mbagala Mbande

    Wakuu wanaoifahamu Mbagala vzuri ... Je kwa sasa Mbagala Mbande Kuna fursa gani za biashara kwa mtaji mdogo usiozidi 3M?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Ukitoka biashara ya vyakula ...Ni sehemu ipi nzuri nje ya Dar kwa huo mtaji wa 2M unaweza Anza biashara ya Phone accessories, au Vipodozi vya wanawake, au miamala ya fedha nje ya JIJI la Dar?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Mfano biashara ya Phone accessories...Au ya Vipodozi vya wanawake
Back
Top Bottom