Recent content by YBN Pharoah

  1. Y

    Msaada kuapply chuo

    Nili pangiwa TIA singida campus lakini sasa hivi nimeapply TIA dar es salaam campus je hii imekaaje?
  2. Y

    Msaada kuapply chuo

    Habari wanajamvi poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani naomba ushauri nilipangiwa certificate mwaka Jana lakini nilisoma semester moja ya pili sikuweza kumalizia ada kwaiyo sikuisoma. je naweza apply September intake ya mwaka huu? Naomba msaada wenu. Natanguliza shukrani zangu.
Back
Top Bottom