Recent content by yazzona

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi CAF au FIFA kwanini wasiifungie ligi yetu? Maana yanaendelea ni udhalilishaji wa mpira wetu

    Huu ushauri ulipaswa uutoe kipindi kile ambacho mliipangia Singida BS kikosi cha kucheza Uto.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa dhati niwapongeze mashabiki wa Yanga, chukueni maua yenu

    Wewe na Mashabiki wenzako wa Utopolo wakiwemo wachezaji mlijua kabisa hamna timu ya kuwapeleka robo sasa ulitegemea kelele zitoke wapi.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    Si bora hata mimi nilitoka kwenye hatua ya robo na kufungwa au kufunga ni sehemu ya mchezo. Wewe sasa makundi tu chaliii.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    Usituchose na wewe mlishindwa nini kufunga goli lingine ili kuua ile figisu ya Mamelodi. Si mlicheza mpaka penati nyie nini kilizuia msitikise nyavu badala mlikuwa mnapaisha.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Hilo bus la pili mbona picha zake hatuzioni?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kubwa, ndio timu bora Tanzania na ukanda wa CECAFA

    Mna ukubwa gani nyie. Mmekuja kutolewa nyumbani kwenu..
  7. Y

    JamiiForums Tanzania CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

    Hayo mashindano yenu ya akina baba mna point ngapi mpaka sasa ukilinganisha na mashindano yetu ya akina mama.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

    Hata kundi lenu ni vibonde watupu lakini mmeshindwa kupata ushindi angalau mechi moja tu.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    Kibu usimchukulie poa ni mchezaji mzuri na ana mchango mkubwa sana kwenye timu na ndio maana akifanyiwa sub tu basi timu ni lazima itafungwa. Fuatilia.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    Ndio uwezo wao huo. Si mlisema Alahly ni Unga.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

    Siyo kweli. Fuatilia upya.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    Hata ninyi mnaweza kwenda kuficha.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

    Hayo magoli yaweke vice versa. Trust me Utanishukuru baadae.[emoji1488]
Back
Top Bottom