Recent content by Yasser mikidadi

  1. Y

    Maombi ya ajira kuendesha Uber\Bolt

    Habari zenu viongozi kwa jina naitwa Yasser Mikidadi natafuta kazi ya kuendesha Uber & Bolt pia nina leseni class c1,c2,c3 ni kijana muaminifu na ni mchapakazi. Kwa mawasiliano zaidi: 0623033336
Back
Top Bottom