Recent content by Yasin Yahya

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Usikose kusoma hapa.

    Naitwa Yasini Yahya Rajabu Nimepoteza cheti changu cha kuzaliwa, Kwa yeyote alie kiona wasiliana nami kupitia email:yasinyahya6@gmail.com au Kwa namba ya simu :+255718—919637 Kimeandikwa nimezaliwa:16/04/1994
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kujiunga chuo cha TIA

    Natumai mpo poa, naomba mnisaidie kidogo niliomba kujiung na TIA kwa ngazi ya cheti. nimechaguliwa lakini sijafahamu vitu gani natakiwa kuchukua baada ya kuliona jina langu ili kukamilisha usaili?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada :tia &ifm

    habari ? naomba unijuze kama wewe ni muhusika wa IFM au TIA. nimepeleka form ya maombi ya kujiunga kwa ngazi ya certificate katika vyuo hivyo. Kwa hiyo ningependa kufahamu kama majibu yamesha toka au kama bado kwa mwenye kujua lini yanaweza kutoka pia anifahamishe. asanteni !
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada TIA

    Habar? naomba kuuliza eti TIA wamesha anza kutoa form za maombi kwa ngazi ya cheti? Pia kama tayari watu wameshaanza kurudisha hizo form?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada IFM

    hadi campus ya dar tayar kwa sababu kuna siku nilienda kudownload form wakaniambia kuwa campus ya dar bado
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada IFM

    Asante
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada IFM

    habar wanajamvi? Naomba kuuliza eti IFM wameshaanza kupokea maombi kwa wale wa certificate?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania msaada kwa wale wanabiashara

    Habar? Mwaka jana nilipeleka maombi TIA nilikuw nataka kusoma Account katika ngaz ya cheti ila sikufanikiwa kupata nafasi. Alafu mbaya zaidi niliapply TIA tu kwa sababu muda ulikuwa umeisha wa kujaribu kuapply vyuo vingine. Katika cheti changu nina Commerce-D B/Keeping-D Biology -D...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wakubwa

    Nimefanya mtihan mwaka jana form 4 na niliambulia B/KEEPING- D COMMERCE- D BIOLOGY - D B.MATHS - C nime0mba Chuo nilitaka kusoma Account nimekosa sijafahamu hadi n0w nifanye nini? Mawaz0 yenu muhimu kwangu
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIA

    nimeingia lakin naona inazngua. Nimeangalia upande ule wa Basic Technician Certificate in Accountancy hamna chochote kilicho andikwa ila nimecheki upand mwngine wa Basib Technician Certificate in Accoutancy Evening inakubali.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIA

    0K! Kama ukichaguliwa huwa wana kutext 0? Na km haujachaguliwa pia huwa wanakutext au wanakuchunia tu?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIA

    waliandika mwisho wa kupokea ma0mbi ni mwezi wa 8 trh 30 sasa nashindwa kuelewa unanyo niambia hvy
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIA

    Habar zenu? Wakubwa eti majibu ya walio 0mba kujiunga na masomo kwa ngazi ya certificate yameshatoka?(TIA)
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Asante
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Asanteni wakubwa nasikilizia majibu mwezi huu
Back
Top Bottom