Recent content by Yarabi

  1. Y

    Precision air kufilisika?

    mimi nashangaa serekali inatafuta mbia kuikoa ATCL ambayo ni national carrier na inasemekana kuna wa oman (waarabu) wameahidi kuifufua sasa sijui wataeleweka vipi wakipeleka hela za walipa kodi kwenye kampuni binafsi iliyohujumiwa wa wakenya ili waweze kumiliki hisa kubwa za PW
  2. Y

    Kwanini hisa zA CRDB zimeshuka thamani?

    sijaona jibu la kitaalamu mpaka sasa, ninaye ndugu yangu Oswald urassa nilitegemea angechangia hapa
  3. Y

    Precision air kufilisika?

    Kufilisika sio rahisi sana ila kinachowezekana ni wamiliki kubadilika kwani tiyari jina wanalo, serekali ni vigumu kuikomboa maana ni ya binafsi na serekali haifanyi biashara na isitoshe ya kwao ATCL wameshindwa kuifufua hivyo ikitaka kuikomboa Precision ni kutaka kutafuta kashfa mpya ya ufisadi...
  4. Y

    Bussiness partner wa kuleta magodoro used toka UK mpaka TZ

    kutoka 1995 na sasa ni mbali sana, mimi ninao jamaa zangu walikwenda japan 2002 wakasema maredio (music system zinatupwa majalalani, mimi nimehatika kwenda japan mwaka jana 2012, wafilipino wananunua takataka na kuzisafirisha kwao na nchi zingine takataka hizo ni pamoja ma redio,friji,hovers nk...
Back
Top Bottom