Recent content by yansen

  1. Y

    Huyu mwanaume hata umkere vipi hajui kukasirika

    😂😂😂,aisee wanawake kwakweli wakati mwingine hamsomeki kabisa,ona saivi unataka afokefoke,ugombezwe,siajabu hata lile kofi la mpenzi haliumizi unalitamani, sio bure,ikitokea tena akafanya hivyo unaanza kulalamika jamaa mkorofi mara hayupo romantic😂😂,ngoja nikushauri kitu,huyo mjuba anakufaa sana...
  2. Y

    SoC02 Kilimo ni fursa

    Nashuru sana mkuu kwa kura yako, asante sana tena sana.
  3. Y

    SoC02 Kilimo ni fursa

    KILIMO NI FURSA Neno mkulima limetokana na kitendo cha kulima,hivyo mkulima ni mtu yeyoyote anaejishughulisha na shughuli za kilimo. Shughuli hii imekuwepo tokea karne nyingi zilizopita kwakuwa maisha ya mwanadamu yanategemea chakula na chakula kinazalishwa kupitia shughuli ya kilimo. kumbe...
Back
Top Bottom