Recent content by Yamungu Jeremiah

  1. Yamungu Jeremiah

    Watumishi wa umma wapewe elimu ya kikokotoo wamechanganyikiwa

    Kusema ukweli, watumishi wa umma, hususan hawa wa ngazi za chini kama waalimu nk, wamezongwa sana na rundo la makato na mambo mengine ambayo yanawafanya waishi maisha duni sana. Utakuta mtu mmoja anakatwa loan board (HESLB), Bima za afya, vikokotoo plus hii mikopo ya mabenki waliyoletewa siku...
  2. Yamungu Jeremiah

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Binafsi nakuelewa sana Mkuu, but sadly, system haiko kamili. Mfumo wetu wa elimu unatoa base, then the rest linabaki kuwa jukumu la mtu mwenyewe. Nikienda kwenye mada, kiuhalisia si jukumu la Bank na taasisi za kifedha kutoa elimu ya kifedha kwa wateja, bali ni jukumu la mteja/kutafuta kwanza...
  3. Yamungu Jeremiah

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Tatizo masuala haya hakuna anayepaza sauti kuyafikisha katika ngazi husika. Na hii yote ni kutokana na watumiaji wengi kukosa elimu ya kifedha inayotufanya tunashindwa kuona athari ya pesa ndogondogo tunazopoteza kila siku. Kwa mnaotumia Lipa, tumieni makato haya aliyopost mdau, ndiyo...
  4. Yamungu Jeremiah

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Hivi comment hii umekusudia kuitoa?, ni vema ukasoma kitu kwa nia ya kuelewa na si tu kujibu. Ni kwasababu ya kukosa elimu hizi za kifedha ndio maana tunateseka katika eneo hilo la fedha.
  5. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Interesting. Taking risk hasn't been easy for the most due to the fear of losing, especially kwa investors ambao hawajui namna ya ku diversify na hawawezi kufanya risk analysis and management. But risky investments always holds high returns. Hizi elimu huku kwetu ni zero kabisa.
  6. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    CDs na fixed deposits zina almost 99% investment security.
  7. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Hiyo 6%-7% labda kwa wanaowekeza pesa nyingi angalau inaweza kuwalipa, llakin kwa hizi investment ndogo ndogo better ukafanya biashara.
  8. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Yeah, kwa upande wa CDs ni fursa. Japo sina uhakika kama hizo variables zinazowapa mzigo wa riba wakopaji pia zinaweza ku apply kum-favour mwekezaji kupata high return. Ila ni fursa kwa upande huo.
  9. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Leaving aside tofauti za kisiasa, kwa hili Ruto yuko sahihi sana. Na hata hii issue aliyoiongelea gavana Tutuba ya kuwa na the same currency East Africa iko poa, sema kama hawataweka emphasis kubwa kwenye kuzalisha haitakuwa na makali sana because tutaendelea kuagiza abroad ambako Dollar ndio...
  10. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Imefafanua vizuri. Ila it is likely hizo variables ndio zinazoleta changamoto zaidi kuliko riba elekezi yenyewe.
  11. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Daah, binafsi nilipoona +/-2% nikaona kama unafuu mkubwa. Maana Hizi commercial banks kama zingefuata huo msingi mfano kwa ku add +2% bado kungekuwa na unafuu wa Riba kwa mkopaji. Sema ndio kama hivyo umesema kuna mambo hapo kati yanaweza kuongeza zaidi riba. Mara ya mwisho niliongea na afisa...
  12. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Na hiyo ndio sababu wazalishaji wataendelea ku controll uchumi wetu. Mfano ukiangalia malalamiko ya waagizaji wengi wa mafuta na wafanyabishara wa kariakoo kilio kikubwa ni DOLA. Hili ni kwasababu dola ndio inayotumika sana katika masoko tunayoagiza bidhaa. Lakini tungekuwa tunazalisha wenyewe...
  13. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Kaka hii issue ya riba zinazopangwa na nyenzo(wakopeshaji) mbalimbali katika soko la fedha inatakiwa kuwa +/-2 chini au juu ya riba ya Bank kuu, wewe unaielewaje?
  14. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Kama kuna point za muhimu ambazo huwa ninazi-admire ni hii ya "kuzalisha wenyewe". Tatizo tuna elimu za nadharia sana ambazo hazitoi ujuzi stahiki. Hatuwezi kuzalisha kama hatuna ujuzi. Focus kubwa inatakiwa kuwa hapa kwenye hii "ELIMU". Sure uchumi wetu unaongozwa na wazalishaji.
  15. Yamungu Jeremiah

    Je, soko la fedha litatekeleza sera mpya ya fedha ya Benki kuu?

    Kwa mujibu wa ripoti ya BOT wanasema hapo awali Benki kuu walikuwa wanatumia mfumo wa "Ujazi wa fedha" na si mfumo wa Riba. Sina uelewa sana na mfumo huo wa Ujazi, ila wao wanasema ni mfumo wa makadirio na umekuwa ukiwapa sana changamoto katika ku monitor riba zinazopangwa na taasisi zingine...
Back
Top Bottom