Mwanamke aliyewafahamu wanaume, na hakuna mwanaume aliyechomoka kwake. Aliwezaje?
Alifukuzwa nchini kwake, lakini alikuja kuwa Malkia wa nchi ile ile aliyofukuzwa, Aliwezaje?
[emoji419] Mwaka 48 K.K, Ptolemy XIV wa Misri alifanikiwa kumfukuza dada yake ambaye pia ni mke wake Malkia Cleopatra...