bt nimesikia open universty kuna k2 kinaitwa foundation crz vp hy ni bora kuliko A level nina c 3 na ni mwl wa shule ya msingi naomba ushauri wk nisome kipi kt ya hv
Habari za humu ndani,
Naomba msaada kwa mwenye Topic muhimu za A-level mimi ni mwalimu, ninasoma kwa muda wa mwaka 1 kuanzia sasa hadi mwakani inshaallah nachukua HKL.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.