Recent content by Xi jiping

  1. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Nadhani unachokiongea hukifahamu kama unakifahamu utakua unafaidika na huu mfumo!!
  2. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Pole ajira ngumu punguza hasira Huwezi pata kila sehemu we subiri next time
  3. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    mshahara unaweza ku cover expense za miezi mitatu?? Unalipwa sh ngap ndugu yangu
  4. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    😂😂😂😂Interview umeshindwa unataka ajira za bure! Serikali haiwezi ajiri vilaza Lia tu bro
  5. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    KWAMBA MAWENI TU ndo imepangiwa watumishi wengi kuliko uwezo wake?? Hizo sehemu nyingine pesa wametoa wap?? Mi najua kigoma haikua na nafasi nyingi kiivo
  6. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Swali Gumu Majibu marahisi Basi sasa si wangebaki nyumban hadi mtu alipwe ndo aingie kazini??
  7. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Ushawai kuishi kigoma ww KIGOMA KILA KITU KIMEGOMA
  8. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Mambo yangekua yanaenda huu mtandao usingekua una uzi hata mmoja. Nadhani jielimishe kidogo kazi ya mitandao na vyombo vya habar
  9. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Kuna moja yupo kwene huu uzi kashashiba migebuka anajibu majibu yasiyo na weredi sijui ndio wazimu @mw
  10. Xi jiping

    Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Nakujua ww !! ndo nyie mnakwamisha mambo mnashindwa kufanya kazi mlizopangiwa FISADI MKUBWA WW
Back
Top Bottom