una uhakika mji hakuutaja? wahusika walitajwa vizuri tu, sikiliza tena. Kuna kitu kinaitwa plausible deniability, huezi kutoa meta facts ( hili neno ni msimu kwa baadhi ya maeneo, si recognizable ila inamaanisha ushahidi au facts ambazo ndizo zinazojenga msingi wa hoja) zote kwa sababu anytime...
Hata wewe kunya Kiranga ni part ya process, a very giant process. Mistake moja ya kimahesabu na dunia hakuna, vitu havitokei kwa ukiwa bali vina msingi wake na ndio ulimwengu ukawepo.
HAHAHA Ripoti imetoka lini na uliisoma lini hadi ukaja na hitimisho hili? Hebu nipostie medical exam report nione, halafu kwa ukaribu ule sikio kuzibuka kutokana na risasi si jambo la ajabu, sikio kuzibuka haimaanishi mtu hawezi kusikia. Baadsa ya muda linaweza kuheal, nitakupa mfano mwengine...
Hehehe haya sasa ndio maajabu ya Kiranga, nitakufundisha kanuni hii, pale unapoona umeharibu kaa kimya, maana kadri unavyozidi kujitutumua ndivyo unavyozidi kudhalilika, haya basi tuonyeshe metadata za video hii ikionyesha kuwa hii ni edited video tuonyeshe pia original source ya video amabyo ni...
OK basi kama ni ushamba subiri nikutumie link hii hapa.
https://youtu.be/Ey0qVzG8_vU?si=1ePlC37_U8EGcrd7
Haya
1. Ametabiri vingi, lakini hoja ya mezani ni kuwa Trump atakoswakoswa na risasi ya sikio (akiwa amelishika sikio la kulia) risasi ambayo ilipita cms away kupasua kichwa na kupiga sikio...
HEHEHEHE huyu ndie Atheist, Dah umejishusha thamani, vingine ungesema no comments walau watu wangekuona una kitu, unajitutumua mwisho unadhalilika mbele ya werevu.
Kanithibitishia kumbe ni lijinga, kati ya watu bilioni 8 mmoja aje na metafacts zinazoshabihiana kwa asilimia 99 hii ni maajabu hata probability haijui huyo.
Nilikuwa nakuheshimu ila kumbe na wewe ni popoma, hahaha duh? Link hujaiona? Think constructively bwana atheist. Ni a very rare scenario kwa mtu anaejua kufikiria vizuri, maskini umejishusha sana.
Hahaha nimecheka sana, basi kaka tufanye yameisha, umeshinda wewe.
Lakini tunaweza kukubaliana kuwa baadhi ya mambo tunayaacha kama yalivyo, mara nyingi Hekima inatuelekeza kutokataa kila kitu, kisa hujalithibitisha wewe, laini pia kutokubali kila kitu kwa maana utambuzi wako umekufanya uamini...
Ahsante sana, kama uzani ni wa kimantiki basi tufikirie tone moja la maji kisha tukalijumuisha na tone lingine la maji tunapata vipi kati ya hivi viwili?
A. Tunapata matone mawili ya maji
B. Tunapata tone moja kubwa la maji.
Kama jibu ni B basi nifafanulie mzani wa mantiki ulivyotumika. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.