Recent content by xack

  1. xack

    Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

    Kwa mtazamo wangu naona mbeya kuna ahueni ya maisha kuliko arusha mfano chakula arusha ni bei ghali na pia ni kidogo wakati mbeya unakula kushiba, life style casual ya arusha watu wanavaa vizuri kuliko mbeya both wanapoor infrastructure barabara siyo nzuri mfano city planing road moshi...
  2. xack

    SoC02 Sera mpya kwa wafungwa

    MBINU MPYA ZA KUBORESHA MAISHA YA WAFUNGWA UTANGULIZI Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uhai alionipa na kunijalia mawazo mazuri ya kuandika ili jamii yangu iweze kuimarika, napenda kutumia nafasi hii kuandika kwa ajili ya rafiki zangu, ndugu zangu na jamaa yangu walio nyuma ya nondo za...
Back
Top Bottom