Recent content by X104949

  1. X

    JamiiForums Tanzania Taratibu wakazi wa Kigamboni tunaanza kuzoeshwa foleni na malori

    Inafika kipindi unajiuliza mbona idadi imekua kubwa sana ya malori wakati huu au kuna mali za inchi zinauzwa kisiri siri, naaznakuona kama kunaukweli na anachoongea Polepole kwasababu hii ni very abnormal mbona haikua hivi miaka ya nyuma
  2. X

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya malori njia ya Mandela road inaleta usumbufu mkubwa

    Idadi ya Malori njia ya Mandela road imekua kubwa sana kiasi ambacho yanasababisha foleni kubwa sana. Hii ni kero kero kwa wakazi wa Kigamboni na Mbagala wanaotumia mandela road. Mbali na foleni haya malori yanahatarisha usalama wa watu kwani yanasababisha ajali, lakini kuzuia huduma za...
Back
Top Bottom