Recent content by wright brian

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi

    Wadau habari za ujenzi wa Taifa, Jumatatu nilikwenda kazini kwa mke wangu kuchukua ufunguo wa nyumbani kuna kitu nilisahau nyumbani hivyo niliitaji kukirudia, yeye ndo huwa anawahi kurudi nyumbani so huwa anakaa na ufunguo, wangu nilipoteza kwenye pombe. Sikua nimempigia simu nilijua atakuwepo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Amenifumania mara 3, tukatalikiana, sasa naoa anadai turudiane

    Hivi kweli mwanamke anakuja kucheki movie na mm saa tano usiku na night dress tu akikaa mapaja yote nje na g string inaonekana Then kweli mnadai mm ni mzinzi?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Amenifumania mara 3, tukatalikiana, sasa naoa anadai turudiane

    Mkuu nilipitiwa tu, Mimi sio mzinzi
  4. W

    JamiiForums Tanzania Amenifumania mara 3, tukatalikiana, sasa naoa anadai turudiane

    Mkuu ni bahati mbaya
  5. W

    JamiiForums Tanzania Amenifumania mara 3, tukatalikiana, sasa naoa anadai turudiane

    Huyu mwanamke mara ya kwanza alikuja kunialika kwenye mahubiri yao ya wasabato, nikakubali kwenda ili nimpate maana nilimpenda,ni mzuri sana kwa kweli. Nikabatizwa nikampata tukafunga ndoa, tukapata watoto wawili. Mmoja wao alikua na miaka mitatu na mdogo mwaka mmoja wakati matatizo yanaanza...
Back
Top Bottom