Recent content by Wizara ya Madini

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasisitizwa Kuhifadhi Madini Adimu ya Yoderite

    Imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti za kuhifadhi na kulinda madini adimu aina ya Yoderite yanayopatikana katika eneo la Mlima wa Mautia, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, ili kuhakikisha urithi huo wa kipekee wa kijiolojia unabaki salama kwa manufaa ya vizazi vya sasa na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wizara, Taasisi za umma zaelekezwa kuunganisha huduma kupitia mifumo ya Kidijitali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Umma nchini kuunganisha huduma wanazozitoa kupitia mifumo ya Serikali ya kidijitali ili kurahisisha utoaji wa huduma na kuimarisha uwajibikaji kwa wananchi. Prof. Shemdoe ametoa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia kutenga asilimia 10 ya makusanyo ya madini kwaajili ya utafiti wa kina wa rasilimali za madini

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali imefikia hatua muhimu katika maendeleo ya sekta ya madini baada ya kuridhia kutenga asilimia 10 ya makusanyo yatokanayo na sekta hiyo kwa ajili ya kugharamia utafiti wa kina wa rasilimali za madini nchini. Akichangia Makadirio ya Mapato...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu majaliwa azindua mitambo 10 ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

    Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji wadogo yenye thamani ya shilingi bilioni 12.41 iliyonunuliwa na...
  5. W

    JamiiForums Tanzania TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
  6. W

    JamiiForums Tanzania TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Zijue dondoo muhimu kuhusu kiwanda cha kwanza cha kuchenjua shaba kwa kutumia teknolojia ya kisasa cha Mast- Chunya Mbeya

    KUANZISHWA Mineral Access Systems Tanzania Ltd (MAST) ni Kampuni ya Kitanzania, iliyoanzishwa mwaka 2011, ikiwa na dhamira ya kuendeleza biashara ya madini kwa njia shirikishi na endelevu. Imekuwa ikifanya biashara ya madini ya kimkakati (strategic minerals) ndani na nje ya nchi mfano Zambia...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini yazidi kunadi fursa za uwekezaji katika sekta ya madini

    Tume ya Madini imeendelea kunadi fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya madini kupitia ushiriki wake kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Akizungumza wakati wa kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ollal: Jukwaa la nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini lilete mabadiliko

    Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo cha mabadiliko katika Sekta ya Madini hasa kwenye eneo la ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini katika eneo la ajira na utoaji wa huduma...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Director of Policy and Planning Visits Pavilion on Behalf of Deputy Permanent Secretary as Fourth Local Content Compliance Forum Concludes in Mwanza

    The Fourth Local Content Compliance Forum (LCCF) in the Mining Sector concluded today in Mwanza, having brought together a wide range of stakeholders committed to enhancing Tanzanian participation in the mineral sector. Representing the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Minerals...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Simbachawene aipa Tano Tume ya Madini

    Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene ameipongeza Tume ya Madini kwa kazi kubwa na yenye matokeo chanya katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali na kuchochea maendeleo ya Sekta ya Madini nchini. Akizungumza alipotembelea banda la...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde ataka Watanzania kupewa kipaumbele kusambaza bidhaa na huduma migodini

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Tume ya Madini kuwapa kipaumbele watanzania kwenye usambazaji wa huduma na bidhaa kwenye migodi ya madini ili kujipatia kipato, kuongeza mzunguko wa fedha nchini hivyo Sekta ya Madini kuendelea kuwa na mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa. Mhe...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha utiaji saini wa mikataba ya ununuzi na usafishaji wa dhahabu nchini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaendelea kuimarisha Mpango wa Ununuzi na Uhifadhi wa madini ya dhahabu yaliyosafishwa kwa kiwango cha asilimia 99.9 kutoka katika migodi na viwanda vya kusafisha dhahabu ili kuwa na akiba imara ya fedha za kigeni...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wa madini wavutiwa na uongezaji thamani vito

    Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini wameonesha kufurahishwa na fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani madini ya vito walipotembelea banda la Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ambapo wameelezwa pia kuhusu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini laanza Mwanza

    Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara ya Madini na Taasisi zake, Taasisi za Serikali, Taasisi Binafsi, Taasisi za Fedha, Kampuni za...
Back
Top Bottom