Recent content by Wizara ya Ardhi

  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania 42. Wananchi 268 wahudumiwa kliniki ya ardhi Chemba, hati 181 zasajiliwa

    CHEMBA Wananchi 268 wamehudumiwa katika Kliniki ya Ardhi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ndani ya siku tano tangu kuanza kwa huduma hizo Oktoba 5, 2026, huku hati miliki za ardhi 181 zikiwa zimesajiliwa na nyingine 92 zimechukuliwa na wahusika. Akizungumza kuhusu mafanikio ya kliniki hiyo...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kutumia mifumo ya e-Ardhi na e-Office kwa ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    ARUSHA Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kuboresha huduma za ardhi, Mmuya atoa wito kwa watumishi kuondoa urasimu

    Kuboresha huduma za ardhi na kurahisisha upatikanaji wa hati za umiliki ni sehemu muhimu ya juhudi za Serikali za kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ufanisi na kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa. Katika kutekeleza azma hiyo, watumishi wa Sekta ya Ardhi wana nafasi muhimu ya kuhakikisha...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania HATI MILKI ZA ARDHI 266 ZATOLEWA KWA WANANCHI WA DAWAR HANANG'

    HANANG' Jumla ya hati miliki 266 za viwanja na mashamba zimetolewa kwa wananchi wa Kata ya Dawar mkoani Manyara. Hati hizo zimetolewa Oktoba 8, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Hanang’, aliyekuwa Mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi hati hizo Mhe. Vita Rashid Kawawa, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kuzingatia maadili na kuimarisha huduma kwa wananchi

    ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaopisha Mradi wa Ujenzi Bwawa la TSF Tarime watakiwa kuheshimu katazo

    TARIME, MARA: Kaimu Mthamini Mkuu wa Serikali, Bw. Chiremeji R. Kome amewataka wananchi ambao maeneo yao yanapisha mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF la Mgodi wa North Mara wa Barrick kuheshimu katazo lililotolewa na kuacha kufanya maendelezo mapya katika maeneo yao. Akizungumza wakati wa...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Chemba wafurahia Kliniki ya e-Ardhi, wapongeza kasi utoaji huduma

    Wananchi wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wameeleza kufurahishwa na kasi ya utoaji huduma za ardhi kupitia Kliniki ya e-Ardhi inayoendelea wilayani humo, wakisema huduma hiyo imepunguza muda wa kusubiri na kuondoa urasimu katika upatikanaji wa hati za viwanja na huduma nyingine za sekta ya...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya ashiriki mkutano wa saba wa tume ya pamoja ya ulinzi na usalama Tanzania na Msumbiji

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Msumbiji (Joint Permanent Commission for Defence and Security – JPCDS)...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Sports yang’ara SHIMIWI, yatwaa vikombe vinne

    Timu ya Ardhi Sports imefanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) 2026 kwa kutwaa vikombe vinne, ikiwemo ubingwa wa mpira wa miguu na mchezo wa Darts. Mashindano hayo yaliyoshirikisha watumishi kutoka Wizara, Idara na Taasisi...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Chemba kunufaika na Kliniki ya Ardhi

    Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba kwa siku tano. Kliniki hiyo iliyoanza Oktoba 5, 2026 katika Ofisi za Ardhi Wilaya ya Chemba...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yajipanga kusogeza kliniki za ardhi katika michezo

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya: Wawekezaji endelezeni maeneo yenu kuepuka migogoro

    ★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanaendeleza maeneo waliyopewa kwa mujibu wa madhumuni yaliyokusudiwa, akisema kuyaacha bila shughuli na...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo atoa Rai maandalizi ya EL NIÑO kulinda makazi

    DODOMA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuanza kuchukua hatua za maandalizi dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Niño na kusisitiza umuhimu wa upangaji bora wa maeneo ya makazi...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi 344 Mgeo waridhia fidia na kusaini fomu za uhakiki wa taarifa kupisha SGR

    KIGOMA: Wananchi 344 kati ya 346 waliofika katika zoezi la disclosure katika Mtaa wa Mgeo, Kata ya Buhanda, Kigoma, wameridhia fidia zao na kusaini fomu za kuthibitisha uhakiki wa taarifa zao za mali zinazohusika na mradi wa SGR. Mthamini Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
Back
Top Bottom