Kuanzisha chama muda huu na kwa wakati huu ni kuendeleza utitiri wa vyama vingi visivyo na tija. TAL anapaswa kushinda na aunganishe nguvu na vyama makini kuiondoa CCM madarakani.. Ikishindikana basi anapaswa kuondoka na kujiunga na chama makini ACT Wazalendo ili kuikabili CCM na washirika wake...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, @DorothySemu akizungumza wakati wa kikao cha mashauriano kuhusu ziara ya ujenzi wa chama inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Juma Duni Haji makao makuu ya chama Magomeni jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2024.
Salaam Mama Rais Samia.
Wakati yalipoanza matukio ya utekaji kipindi cha Serikali ya awamu ya 5; yalikuwa ni matukio mageni. Walakini kama vile hayataki yakawa mazoea kabla ya kuota mizizi.
Pengine isingekuwa hofu sana kama ungekuwa ni utekaji tu, ila watekaji wenyewe kuwa WATU WASIOJULIKANA...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha...
Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni (X) anajulikana Sativa. Mwakabela amepatikana leo tarehe 27 Juni, 2024 huko Mkoani Katavi akiwa...
Fedha za Muungano zinaendelea kutumika bila kujali haki na usawa wa pande zote mbili. @ACTwazalendo tunataka Serikali ifuate Katiba kwa kuanzisha Akaunti ya Pamoja ya Fedha kwa mujibu wa sheria na mapato ya Muungano yawekwe humo.
N/Waziri Kivuli wa Fedha
Shangwe Ayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.