Recent content by Wise E

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    punguza ushauri mkuu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    hatukupi nyie ndio mnaowaambiaga watumishi walime hata michicha wapunguze kutegemea salary
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    tuvute muda mpaka mchana mchana mambo yatakuwa mazurii
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    daa watakuwa wameokoa kinoma
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    mwamba habali zako uwaga ni za uwakika kwa sisi raia nafikiri badae badae mambo yetu yatakuwa mukide
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    muongo wewe
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    kwenye salary slip ama
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    kaka usikute wao wana maisha mabaya kinoma ila wamebakia kashfa tuu ndio wanaoongoza kutuomba beer bar
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    safi sana mzee wa salary slip
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    hii ngoma kesho jioni uwakika
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    bravo kaka uwaga nachukizwa sana na watu wanaowasema vibaya watumishi wa umma wanapouliziaga haki zao
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    mimi madogo kama nyie mkitoka kwenye mstari uwaga nawachana tuu
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    nipo kwenye utumishi wa umma tokea 2009 sasa nikionaga hawa GEN Z na vijigambo uwa sivielewagi hawujui wanabishana na baba zao humu utakuta wanakaa kwa dada zao
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    nimekuelewa ndugu ila unalazimisha mawazo yako wote tuyachukue watumishi hawahitaji ushauri wako man
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    mshahara ni haki yake kuulizia hata kama ana biashara nyingine pembeni so waacheni wawe huru na mishahara yao period kupanga ni kuchagua
Back
Top Bottom