Recent content by Winnie227

  1. W

    Mchumba wa Flaviana Matata utata

    Duh so kila mwanaume aliyepiga naye picha kamtoboa sio???
  2. W

    Wapi 20%: Kweli bila skendo na kuishi magazetini hu-survive kwenye game

    Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana vipaji kama hivi haviskiki.
  3. W

    Mchumba wa Flaviana Matata utata

    Acha kuzuga unapenda hii mambo Ndo maana upo hapa...unapenda ubuyu Wewe just admit 😆😆😆😆😆
  4. W

    Mchumba wa Flaviana Matata utata

    Sana safi sana
  5. W

    Mchumba wa Flaviana Matata utata

    Mashallaah. .Wamependeza
  6. W

    Mchumba wa Flaviana Matata utata

    Namkubali bi dada so siri anapeperusha bendera yetu vyema kimataifa. Athante! Haya wote tunajua amechumbiwa kwa sasa, Haya hongera binti. Utata ni nani aliyemchumbia? Why anafanya siri watanzania kutomjua mchumba wake? Na msiseme why nauliza, cause she is a Public Figure so it's not a regular...
  7. W

    Skents aka Diamond's fake manager

    Dogo kiukweli anajua na juhudi na kujituma Vizuri sana. Tatizo ni huyu sk sijui salam Ngoja kwanza ntawaekea ig yake muone utumbo Wake anaandika kuhusu show ya jana Ya tigo kiboko yao. Huyu mwarabu fake sijui njaa upambe m'baya jamani. .hivi kweli manager ana behave hivi..huyu ndo Anatakiwa...
  8. W

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Haya baada ya show ya Victoria kimani kupata watu kumi last week promoter huyo huyo tena kamleta mdogo wake Ali Kiba jana London ku perfom kwenye kiukumbi hicho hicho na jana wakaudhuria kama sio watu 10 basi 20..Jamani wasanii mtajifunza lini.. kweli ulaya tamu. .maana promoter huyo huyo ndo...
  9. W

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Hahahahahah London sio ya kuiga. ..kuweni Makini wasanii sana jamani..sio imradi na nyie muonekane tu mmepanda ndege.. Victoria kimani kafanya show juzi London Kwenye kaukumbi kadogo na kama sijakosea Watu 10 kama sikosei ndo walienda Haya tena mdogo wake Ali Kiba naye jana Kafanya show...
  10. W

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ali Kiba fukuza management- yako na anza- Moja. .Yani Ali Kiba kiukweli ni artist mzuri na mwenye kipaji asilia kabisa na mwenye uwezo mkubwa kwenye MIC. Tatizo nnaloliona anafanya kila kitu mwenyewe or management aliyonayo ni management jina tu..tangu aachane na Guru ramadan mambo yapo slow...
  11. W

    Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

    Haya yule mama anayejiita boss lady wa Uganda na king of bongo flava waaamua kuuza na kutuma picha yao waliokuwa wakilana Live! Jamani hivi hawa wanawake mbona hawajithamini hivi, hii hungry for fame ndo hivi? Na huyu Diamond mbona hana class. Najua mapenzi mtu hachaguliwi ila sio kiivyo! kweli...
  12. W

    Miss Tanzania 2013 'Happiness Watimanywa" ndani ya London: First stop BBC Swahili, Sporah Show

    Haya miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa tayari yuko London ready for Miss world. BBC Swahili, Sporah interviews zimeshafanyika. Haya Happiness Go and Represent, You got my support girl.
  13. W

    Wema na Diamond ni kama kidole na pete, habari ya kuachana ni biashara

    Jamani wanasema ukitaka kuuza sana habari basi weka ngono au umbea.Haya watu easily huwa drowned Kwa hizi vitu. Chanzo changu ambacho ni hakiki kabisa kinasema hawa watu bado wako pamoja ila tu wame stage kuachana ili muendelee kuwaongelea m midomo ni kwenu. Mnasahau hii couple ni...
  14. W

    Le mutuz, haters wengi ni wanaume kuliko ladies

    weka passport yako ya kijani halafu kaombe ya diplomatic hau travel nayo ndo utajua the difference then maybe you will shut up before kulopoka lopoka
Back
Top Bottom