Recent content by winile

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

    daaah inaumiza saana, nimesomeshwa na gvt tangu o.level hadi A.level, coz wazazi wangu walifariki nikiwa std 6, niliscore vzr sana div one olever na div one 6, nituma maombi bodi na tcu education, but mkopo nil, nikakorespond mwaka, kutokana na stress kubwa niliyoipata nilisumbuliwa na ugonjwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    Kaka Hii Mbona Unaisahau Sana, S.0112.0140.2010, Na Hii Kaka S.1453.0078.2008. Naomba Nisaidie Ndg Yangu Plz I Beg U Bro.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Mkuu Nisaidie, S.0112.0140.2010, Plz Kaka
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    mbona kimya kaka, au hujaiona my request S.1453.0078.2008.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    Mimi sisemi mkuu, hii ni zaidi ya ugaidi, ujangili na unyang'anyi, tumebaki kama samaki machozi yake hayaonekani yote yanaenda na maji, hata alie kutwa nzima! duuuuh! tanzania kiboko!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    S 1453 0078 2008
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ulichagua kozi ambayo si kipaumbele, kwanini ulalamike kukosa mkopo?

    kwa kweli mm nina hasira mkuu, 4m 4 nilipata one, 4m 6 pia one, tena gvt school, orphanage, female gender, bt yaliyonikuta sitamani kuwashauri wadogo zangu kusoma kwa bidii, coz ni maumivu tuuu!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ulichagua kozi ambayo si kipaumbele, kwanini ulalamike kukosa mkopo?

    sasa kama hiyo serikali ilikuwa haina pesa kwann waliongeza muda wa wanafunzi kuomba mkopo, bora wangetupa cc tuliowahi kutuma maombi, ni sheeeeedah....!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ulichagua kozi ambayo si kipaumbele, kwanini ulalamike kukosa mkopo?

    jamani mm nimeomba education tena mara 2, lkn loan nill, jamani c tunakufa huku tunatoa macho
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    inanilazimu nicorrespond mwaka wa pili sasa home, daaaah serikali inatuua sisi masikini!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    hiv sasa ni kipaumbele gani wanachopewa fulcuty ya edctn, hata 50%jamani, mbaya zaidi gud perfomance, female in gender, orphanage, gvt schools, je nifanyeje, just ushauri mkuu it's twice now, daah tanzania ni kiboko
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    mm mwenyewe chali jamani, ni mara ya pili sasa nakosa mkopo education.
Back
Top Bottom