Recent content by wimbo ulio bora 15

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu Sekondari ya Sumbugu wilaya ya Misungwi awanyanyasa Walimu na Wanafunzi

    SEKA J AWANDO, Ni Mkuu wa shule mkongwe, wilayani Misungwi, anayeongoza kwa mkono wa chuma. Mwezi huu akiwa na akili timamu aliamua kubomoa milango na madirisha ya nyumba ya walimu ikiwa ni njia ya kuwaondoa baadhi ya walimu. Alibomoa sehemu ya nyumba wanayoishi walimu, akiwalenga baadhi licha...
  2. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Sumbugu Sekondari, Wilaya ya Misungwi, Mwanza, wapata unyanyasaji mkubwa kutoka kwa Mkuu wa Shule hiyo

    Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao...
Back
Top Bottom