Recent content by Willy Wills

  1. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    brother nimejaribu kusoma kama mara 4, i miss a point here..... sijaelewa mantiki yako nini hasa, sijaelewa why niandike jambk hili halafu isiwe na uhalisia, ili nipate nini hasa. Wanawake as you said? Kuwa serious bro wanawake mbona wengi tu mtaani kuna haja gani ya kuhangaika na wanawake hata...
  2. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Nisiposema chochote nitaitesa nafsi yangu.... sikutegemea mkewe wangu angekuja nijibu chochote humu sbb najua hua hatumii jf na sikutegemea things could get this worse and nasty. Kwa yote aliyoyasema sihitaji kujibu chochote either kukuanusha wala kukibali. siko tayari kwa malumbano yoyote na...
  3. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Its going to be black and white, yeye ndiye atoe maamuzi
  4. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    [emoji23] hatimaye leo nimecheka baada ya kitambo.....nitaacha kucheat!
  5. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    shukrani Demi. Kwa sasa suluhu iko mikononi mwa wife. Keshokutwa nitakuwa naye dom, hivyo nitafanya mazungumzo naye kirefu physically tuone hatma ikoje. Nitawajuza.
  6. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    briefly thats what i observed, yapo mengi kuandika yote nisingiweza.
  7. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Hello guys! Niwashukuru sana kwa yote mliyonishauri, nashukuru yamenijenga na kunipa mwanga sana. Ushauri wenu kwa ujumla umeniongoza na nimeanza kuufanyia kazi kwa tahadhari kubwa. Niliomba ushauri nikideclare kuwa nia yangu hasa ni kuona vipi naweza tenganisha wife with the guy. sbb kuvunja...
  8. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    nimesikia kila ushauri na ninakushukuru sana. Nitaanza kufanyia kazi leo, na nitaleta mrejesho wa awali. Asanteni sana sana.
  9. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    I dont think kama elimination ni jambo sahihi, i will be the first suspect, sintokua nimefanya tiba yoyote sababu uzi huu uko hewani,investigation itaanzia hapa.
  10. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Hapana, sema chochote kiwe kizuri kiwe kibaya just say it! It will help me a lot
  11. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Asante kwa advice yako....lakini kwa vigezo vyote sikuanzisha mahusiano naye katika njia uliyoisema. Il nashukuru dada, nilimfuatilia lengo nijue whats behind my back
  12. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Asante sana sana. Kwa kweli sijawahi na I never thought ya kufanya uhuni wa hivyo sbb najua itanicost zaidi. Ila nimekuelewa vyema ulichonishauri.
  13. Willy Wills

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Mwezi huu ofisi yao pia inahamia Dom, wanasubiri Jiwe ahamie, hivyo naye atakua huku.
Back
Top Bottom