Ila leo nimeamini kubet kazi kweli unaeza pata hata ugonjwa wa presha timu umeiamini Unaiomba over 3.5 au over 2.5 inachokifanya sasa
All in all kesho tunaendelea tulipoishia. Lengo kuu ni kumrudisha kwao kanjibai na hasara za kutosha
Madrid leo golini kuna golikipa namba mbili anaitwa lunin hajui kudaka vizuri yule hata kwenye game yao na al ahly alichoma kinoma.
Nilimuona golini tu nikasema Ameishaa
TAARIFA KWA UFUPI
Katika safari yetu toka kigoma kwenda nyanda za juu kusini kwa usafiri wa treni ilikuwa ndefu yenye matumaini ya kufika nyumbani kupitia reli ya TAZARA, lakin kwa bahati mbaya safari yetu haikuweza kuendelea kutokana changamoto za hapa na pale japo kuwa dereva alipambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.