Recent content by William Mwite

  1. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuufahamu huu wimbo

    Umetisha mkuu. Kweli wewe ni mjuvi wa Nyimbo. Asante nitaitafuta kwenye platforms.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuufahamu huu wimbo

    Shukrani sana kaka. Asante kwa kunielewa. God bless you
  3. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuufahamu huu wimbo

    Habari wana JF!! Kuna nyimbo naitafuta bila mafanikio. Inaimbwa "nilimwomba Mungu sana (sana sanaa), anipatie tunae pendana (namimi ndo maana). Siku zote mi nawe habibi siku zotee, tupo sote mi na wewe habibi tupo sote ""
Back
Top Bottom