Recent content by wilhard mboya

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi

    Habarini ndugu na poleni na majukumu, mimi ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto mmoja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito, nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karibuni nimepoteza hamu kabisa ya kushiriki tendo kitendo kichoniumiza Sana, naombeni msaada wenu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Naomba msaada Niko na shida ya tumbo kuunguruma hasa wakati wa usiku nimetumia dawa ya miyoo lakn wap bado siharishi hata midogo Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Naomba kujua kuhusu kifafa na tiba zake
Back
Top Bottom