Recent content by WildCard

 1. W

  Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

  Haujasema kitu kipya Pascal. Mifumo na taratibu zetu za uchaguzi ni zilezile. Matokeo pia hasa ya urais yatakuwa yaleyale. Kilichokuwa kinatakiwa ni 'ushindi' wa 90% au zaidi. Huo nao utapatikana tu.
 2. W

  JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

  Wanapiga kura zote kuanzia mwenyekiti wa mtaa/kijiji. Katiba inawaruhusu.
 3. W

  Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

  Wafanyabiashara wa nchi hii wana chama kimoja tu cha siasa cha kujiunga nacho, CCM pekee. Vinginevyo wewe utalala na kuamka na TRA.
 4. W

  JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

  Askari wetu wanapiga kura. Someni Ibara hii ya 147 ya Katiba yetu:
 5. W

  JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

  Raia wa nchi hii mwenye umri wa miaka 18 anapiga kura wakiwemo wanajeshi, polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto na wengine wote. Wasichoruhusiwa askari wetu ni kujiunga na vyama vya siasa na kufanya siasa ingawa wanaipenda sana CCM.
 6. W

  Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

  Mitandao tu imemshinda kuhimili.
 7. W

  Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

  Hata wewe Pascal? Kwa nini upande wa pili wakiripoti matukio kama haya tunatanguliza mashaka kwanza?
 8. W

  Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

  Moderators hamtendi haki kuunganisha posts. Hili la kufikiri kwa niaba yetu members wenu sio sahihi. Mnaviza na kufifisha fikra zetu. Acheni tabia hii. Kama post haina wachangiaji inajiondoa yenyewe. Moja ya mambo yaliyosababisha nikawakimbia kwa muda mrefu ni hilo la kuunganisha mawazo na...
Top Bottom