Recent content by wicalumtata

  1. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu itakubid upige hesabu ya watts za iyo monoblock na watts za spka... Alafu wao wanatoa monoblock kwasab sio kila gar inahitaji kuwa amp ya mids na Tweeter kwaiyo wanaleta monoblock ili uongeze tu sub woofer.. gar kama bmw.. aud na nyingine mara nying huwa zinakuwa na factory amplifier...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Sio jibu sahihi .
  3. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Monoblock amp huwa ni ipo na single chanel ndo maana imeitwa mono.. sasa huko ulikosoma kwamba wanarecomend utumie monoblock wao wametarget tu kwenye upande wa aub woofer... Je unadhan kwenye mids na tweeter za gar itatumika monoblock???? Jibi hpna.. na utakavotumia monoblock kumbuka utatumia...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Cost of production
  5. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hapa unanunua Tu power supply za HP Ipo ina 12v na 80A.. ukiweka hii utapata unachotaka ila bei yake ni 150000TSHS
  6. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nmeifanya hivi
  7. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kaz unayo brother
  8. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ujue kutengeneza spika sio kutengeneza kitanda boss, mm nipo ktk iyo field najua .. Kwa fund wa electronics anaetaka kutengeneza spika na akiwa hajui kanuni na taratib za spika alimpa fund selemara Yan atafanya madudu tu.. kwaiyo sisi wenyewe ndo tuwafundishe maselemala spika huwa zinakuwaje ktk...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Yan nyiny hamjajua shida ulipo.. Kwa uzoefu wangu wa 10 yrs .. Kwanza hakuna MTU anapenda kuumiza kichwa.. pili mafund mbao wengi sio wabunifu vitu vingi wanafanya ni vile vile Kwa kutumia kanuni zile zile. Sasa ukimleta kwenye secta ya spika unamwambia spika tunahitaji itumie gundi nyingi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hatutakiwi Kununua box kama zile tunatakiwa kuunda box kama zile either Kwa mtindo. OEM au lah.. coz ukifanyia OEM inakuwa ni ya muundo wako na ndio kitu nataka mm nianze kufanya
  11. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Exactly
  12. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Design ndio hizo unazoziona , sema tu finishing si nzur . Na mnaposema mafundi mbao niwape na mpaka sasa wanafanya hao hao mafund mbao saiv mm nimracha kuchonga. Kuna Jambo inabid mjifunze kidogo hapa, ujue haya Mambo tunayafanya Kwa nchi yetu ni mageni kidogo ndio maana hata upatikanaj wa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    0755680562
  14. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Karibuni iringa
  15. W

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa kama hii ni vipi wakuu???
Back
Top Bottom