Pole sana kwa changamoto nakushauri mambo yafuatayo:
1. Jaribu kuhudhuria nyumba ya ibada kumshirikisha Mungu matatizo yako
2. Usipende kukaa mazingira ya peke yako unaweza kuchukua maamuz mbaya zaidi
3.Penda kutembelea sehemu za asili km ufukweni
4. Mwisho changamoto tumeumbiwa binadamu kukata...
Kwanza pole sana Mwalimu, hiyo pesa iliyobaki ni kubwa sana, mimi mwalimu mwenzio nilishajiwekea mkakati siwez kwenda shule kizembe bila kuingiza hata mia, wateja wetu ni wanafunzi peleka pipi, chocolate na bites zingine uwe unauza kuanzia sh. 100-200 ili uweze kujikwamua kiuchumi mdogo mdogo...
Maisha yana changamoto sana sikia kwa watu tu ila omba yasikukute, lkn kanuni ni Ile Ile usikubali kushindwa hata km umechoka tunaowategemea ni wachache sana kuliko wanaotutegemea, kukata kwako tamaa ni kuua ndoto za wanaokutemea wanaokutegemea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.