Recent content by WhoIsMkanwa

  1. WhoIsMkanwa

    Badilisha Tabia Moja 2023

    Daaah!!! Yani mimi kwa kumaanisha kabisa nataka kuacha kucheza Dubwi (Bonanza ) maana kwa Mwaka huu ningekuwa na Kiwanja changu na Ningenunua TVS (BODABODA) Mpyaaaa. MUNGU NAOMBA UNISAIDIE.
Back
Top Bottom