Enyi watu makini wa JF,
Nimeamka nimekutana na ujumbe wa produza ambaye ni jamaa yangu ya kuniomba nimuunge mkono huyu bwana.
Nimemsikiliza lakini bahati mbaya sina sikio zuri la kutambua kipaji haraka haraka na kwa jinsi wasanii walivyo wengi sasa hivi nisije toa sapoti kwa kutwanga maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.