Wanazengo, nilikuwa naitaji kujua kuhusiana na madini kiundani zaidi. Kama hiyo photo hapo unawezaje kutambua kwa kuyaona au unaweza kutumia njia ipi kuyajua.
Sina uzoefu na madini. Nilikuwa naitaji kujuwa zaidi kuhusiana na madini na pia kupeana elimu ya kutosha juu ya utambuaji wa madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.